4 Novemba 2012 - 20:30

Msaidizi wa Rais wa jamhuri ya Sudan baada ya kuihami nchi yake pia ameunga mkono harakati za kikundi cha kiislamu cha Hamasi katika ardhi ya Palestina na kutangaza kuwa Khartom haitishiki na serikali ya kizayuni

Msaidizi wa Rais wa jamhuri ya Sudan baada ya kuihami nchi yake pia ameunga mkono harakati za kikundi cha kiislamu cha Hamasi katika ardhi ya Palestina na kutangaza kuwa Khartom haitishiki na serikali ya kizayuni  Gazeti la As safiir laandika kuwa (Al Haji Adam) msaidi wa Rais wa jamhuri ya Sudan, amesema Khartom  haitishiki na utawala wa kizayuni wa Israel na amesisitiza kukiunga mkono kikundi cha hamasi nchini Palestina.Al Haji Adam amesema yeye anakiunga mkono kikundi cha hamasi na vikundi vyote vinavyotafuta haki  na kupinga utawala wa kizayuni na kwammwe hatutaupa nasfasi utawala huo